Asilimia 92 ya watu duniani hukumbana na uchafuzi wa hewa unaosababisha vifo vya mapema kwa takribani watu milioni 7 kila mwaka.

Uchafuzi wa hewa huathiri mazingira na ni tishio kwa maisha ya binadamu. Ni chanzo cha magonjwa na vifo vinavyoweza kuzuilika kote duniani.

Na si hivyo tu, ina madhara kwa hali ya hewa, kwa bayoanuai na mifumo ya ekolojia, na hata kwa ubora kwa kiwango cha maisha kwa jumla.

Kuboresha hewa kutakuwa na manufaa kwa afya, kwa maendeleo na kwa mazingira.

Hali ya mazingira bila shaka huathiri afya ya binadamu.

Wakati wa Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na anga za bluu, tunatoa wito kwa kila mtu katika serikali, katika mashirika mbalimbali, katika mashirika ya uraia na kwa watu binafsi kupunguza uchafuzi wa hewa na kubadili mienendo yao ili kunufaika.

 

#HewaSafiKwaWote
Jifahamishe zaidi

Tafiti kuhusu ubora wa hewa kokote uliko duniani 

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu uchafuzi wa hewa (FAQs): Yote yamejibiwa na wanasayansi mahali pamoja 

 

Tafiti kuhusu kaya na ugundue jinsi ambavyo unaweza #KusafishaHewa

 

Habari za hivi punde
Video

Kutokana na ushirikiano wa kimataifa, mwaka huu tunaadhimisha miaka 35 ya Mkataba wa Vienna  na miaka 35 ya kutunza tambiko la ozoni.

Toleo la habari

Matukio ya hali mbaya zaidi ya uchafuzi wa hewa yanapoendelea kuongezeka, juhudi za kimataifa za kupunguza uchafuzi wa hewa na athari zake…

Toleo la habari

Matukio ya hali mbaya zaidi ya uchafuzi wa hewa yanapoendelea kuongezeka, juhudi za kimataifa za kupunguza uchafuzi wa hewa na athari zake…

Tukio

Ripoti inayotolewa kila mwaka na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa ya Hatua Zilizosalia Kupunguza Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu sasa…