Mwongozo Maalum

Mara nyingi, huwa tunataka kufanya mambo kwa njia sahihi, ila hatufahamu pa kuanzia. Tulkit yetu inakuelekeza jinsi ya kutoa suluhisho kwa uchafuzi wa hewa na kukuwezesha kuchagua yanayokuhusu. Haijalishi kama wewe ni shirika la biashara, serikali, shule au mtu binafsi. Pakua tulkit yetu ijifahamishi jinsi ya kuwa na #HewaSafi KwaWote